
KIFO CHA UTATA: MTOTO WA MIAKA 8 AKUTWA AMEKUFA NDANI YA SHIMO LA MAJI TAKA
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Mei 9 MTOTO Angel Mseven (8) mwanafunzi wa darasa la pili shule ya msingi Carisa Mwendapole, Kibaha mkoani Pwani amekutwa amefariki dunia ndani ya shimo la maji taka. Alithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoani Pwani, Pius Lutumo alisema, mnamo tarehe 7, Mei saa 3:15 asubuhi huko katika…