
Suluhu yaziachia maswali Ihefu, JKT Tanzania
MSIMU huu wa 2023/24, hakuna mbabe kati ya Ihefu SC na JKT Tanzania baada ya timu hizo kushindwa kufungana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo jioni kwenye Uwanja wa Liti mkoani Singida huku suluhu hiyo ikiziachia maswali ya kwamba itakuwaje mechi nne zilizosalia? Leo timu hizo zilikutana kwa mara ya pili msimu huu…