Admin

PIGA PESA NA MECHI ZA EUROPA NA CONFERENCE

ALHAMISI ndio hii sasa mteja wa meridianbet ambapo leo hii una nafasi ya kupiga mkwanja wa maana ukibashiri mechi zako na meridianbet. Machaguo zaidi ya 1000 na ODDS KUBWA zipo hapa. Mechi kali leo hii ni kati ya wenyeji Bayer Leverkusen dhidi ya AS Roma majira ya saa 4:00 usiku ambapo hii ni mechi ya…

Read More

Lissu, Halima Mdee hapatoshi

VITA ya maneno kati ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Tundu Lissu na Mbunge Viti Maalum aliyefukuzwa na chama hicho, Halima Mdee, kuhusu madudu aliyoyaibua katika chaguzi za ndani, imeendelea kupamba moto mitandaoni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Vita hiyo iliibuka baada ya Mdee kupitia ukurasa wake wa X…

Read More

Gekul aendelea kung’ang’aniwa, anayedai kushambuliwa akata rufaa

Arusha. Kijana, Hashim Ally ameendelea kumng’ang’ania mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul baada ya kuwasilisha taarifa Mahakama ya Rufani Tanzania ya kusudio la kukata rufaa kupinga uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu Kanda ya Manyara. Hashim aliyekuwa mfanyakazi wa mbunge huyo, kupitia kwa wakili wake, Peter Madeleka, amewasilisha notisi hiyo katika Masjala ya Mahakama Kuu…

Read More

NIC INSURANCE YAWAKIMBILIA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI

Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Insurance Kaimu Mkeyenge akikabidhi sehemu ya msaada wenye thamani ya sh.Milioni 10  Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele Kwa ajili ya Waathirika wa Mafuriko wa Kata 13 za Wilaya hiyo. Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Insurance Kaimu Mkeyenge akizungumza mara baada ya kukabidhi   sehemu ya msaada wenye thamani ya sh.Milioni…

Read More

Hapi apokelewa mkoani Singida – Millard Ayo

Katibu mkuu wa jumuiya ya wazazi CCM Taifa Ally Hapi leo tarehe 09/05/2024 amewasili mkoani singida kwa ziara ya siku tatu akitokea mkoani Dodoma ambapo amepokelewa na viongozi wa chama,jumuiya na serikali katika kijiji cha Lusilile kata ya Kintinku halmashauri ya wilaya ya Manyoni ambapo baada ya kuwasili amepokea taarifa kutoka kwa viongozi mbalimbali wa…

Read More

Serikali yapunguza kodi ya makampuni kwa 20%

SERIKALI imepunguza kodi ya makampuni kwa asilimia 20, kutoka asilimia 30 hadi 10, kwa kipindi cha miaka mitano ya mwanzo, lengo likiwa ni kuchochea uwekezaji katika sekta ya viwanda. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Hayo yamesemwa leo tarehe 9 Mei 2024 na Rais Samia Suluhu Hassan, akizindua kiwanda cha kuunganisha malori na matipa cha…

Read More