Admin

Simba yakomaa na Kibu | Mwanaspoti

KWA hali ilivyo kuna uwezekano Kibu Denis akasalia Simba msimu ujao baada ya viongozi kufanikiwa kumshawishi yeye na wakala wake kwa asilimia kubwa. Mwanaspoti ndilo lilikuwa la kwanza kukupa taarifa zote kuhusu Kibu kuanzia mazungumzo ya mkataba mpya ndani ya Simba baada ya ule wa awali kuwa mbioni kumalizika mwishoni mwa msimu huu. Dili la…

Read More

Rais Samia azindua Kiwanda cha kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited Kigamboni Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited Bw. Chetan Chug wakati akikata utepe kuzindua Kiwanda hicho kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024….

Read More

Job afichua ishu Yanga | Mwanaspoti

Beki wa Yanga, Dickson Job amesema wamekuwa wakionyesha hali ya kupambana zaidi pindi wanapokutana na timu inayozuia muda mwingi tofauti na wale wanaofunguka. Nyota huyo ametoa kauli hiyo baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi na kuiweka Yanga katika nafasi nzuri zaidi ya kutetea ubingwa…

Read More

Alhamisi ya TBT: Picha 15 za kitambo za Big Joe akiwa na mastaa wakubwa!!

Leo ni Alhamisi Mei 9,2024 na tunajua kwenye Ulimwengu wa leo siku hii imepewa cheo cha TBT yaani siku ya kukumbuka matukio ya zamani ambapo millardayo.com inakukumbusha au kukuonyesha picha alizowahi kupiga Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Clouds Media Group, Joseph Kusaga Big Joe akiwa na mastaa mbalimbali wakubwa aliowahi kukutana nao hususani kukuza sekta ya Burudani nchini….

Read More

Hizi hapa athari za saa 36 za kimbunga Hidaya

Dodoma. Mvua zilizonyesha kwa takribani saa 36 zikiambatana na upepo mkali kutokana na kimbunga Hidaya zimesababisha vifo vya watu 10 na majeruhi saba, huku kaya 7,027 zenye watu 18,862 zikiathiriwa. Mbali ya hayo, nyumba 2,098 zimeathirika kati ya hizo, 678 zimebomoka kabisa, 877 zimeharibika kiasi, na 543 zimezingirwa na maji. Hayo yameelezwa na Waziri Mkuu,…

Read More

Rekodi tatu Yanga ikiukaribia ubingwa

USHINDI wa bao 1-0 ambao Yanga iliupata juzi Jumatano dhidi ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi, ulikifanya kikosi hicho cha Miguel Gamondi kuweka rekodi tatu tofauti huku wakiendelea kuunyemelea ubingwa wa 30 wa Ligi Kuu Bara. Rekodi ya kwanza ambayo Yanga imeweka kutokana na bao la Mudathiri Yahya dakika ya 83 katika…

Read More