
Simulizi binti aliyetoroka nyumbani akikwepa kuolewa akiwa na miaka 11
Geita. Ni takribani umbali wa kilomita 35 kutoka Geita mjini, mwendo wa dakika 50 hatimaye msafara wa wadau wa elimu unawasili katika Shule ya Sekondari Bung’wangoko. Ziara ya wadau hao shuleni hapo ni shamrashamra za maadhimisho ya Juma la Kimataifa la Elimu (Gawe) linaloadhimishwa mkoani Geita. Kama ilivyo ada ya Waafrika mgeni anapofika anakaribishwa kwa…