
DAWASA yatekeleza agizo la Samia kwa kutangaza zabuni kielektroniki
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Godfrey Mnzava ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kutangaza zabuni za fedha za umma kwa kutumia mfumo wa kielektroniki wa (NeST). Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Amesema kuwa Rais aliagiza zabuni zote za…