
Simu ya Mudathir yapatikana Chamazi, Yanga bado tano tu
LICHA ya nidhamu bora ya uzuiaji kwa Kagera Sugar ila imeshindwa kuizuia Yanga hadi dakika za mwisho baada ya kufungwa bao 1-0, katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Bao la Yanga katika mchezo huo limefungwa na kiungo, Mudathir Yahya dakika ya 82 likiwa ni la…