
‘Tusipoteza nguvu kazi ya Taifa kwa nishati chafu’ Rais Samia
Rais Samia Suluhu Hassan amesema nguvu kazi ya Taifa ambao ni Watanzania zaidi ya elfu 33 hupoteza maisha kila mwaka kutokana na magonjwa ya mfumo wa kupumua ambayo yanachangiwa kwa kiasi kikubwa na uvutaji wa moshi kutokana na matumizi ya kuni na mkaa. Rais Samia amesema hayo leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha…