
Matumizi ya nishati safi sio anasa, ladha ipo
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema matumizi ya nishati safi kwa kupikia ni mahitaji ya lazima sio anasa hivyo utamaduni wa Watanzania kudhani chakula kilichopikwa kwenye gesi kwamba hakina ladha sio kweli. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizindua rasmi mkakati wa kitaifa wa matumizi ya nishati safi kwa kupikia leo Jumatano jijini Dar es Salaam, Rais…