Admin

BIL 1.1 ZA TANROADS ZAREJESHA MAWASILIANO YA BARABARA NA MADARAJA YALIYOSOMBWA NA MVUA ZA EL-NINO – KATAVI

Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania  (TANROADS) Mkoani Katavi imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kufanya kazi ya matengenezo na kurejesha miundombinu ya barabara na madaraja yaliyosombwa na maji ya mafuriko ya mvua kubwa za El-nino zilizonyesha kwa wingi mkoani humo tarehe 14 na 15 Aprili 2024. Meneja wa TANROADS Mkoa wa Katavi Martin A. Mwakabende amesema…

Read More

Mwanafunzi apotea, mwili wakutwa kwenye shimo la choo

Kibaha. Mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Carisa, Angel John aliyepotea kwa siku moja amekutwa amekufa mwili ukiwa ndani ya shimo la choo. Shule hiyo ipo katika Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani. Angel (8), aliyekuwa akiishi Mwendapole, Kibaha alipotea Mei 6, 2024 baada ya kuondoka nyumbani kwao akimfuata dada yake…

Read More

TANROADS RUVUMA YAPOKEA SHILINGI BILIONI 2.5 KUFANYA MATENGENEZO YA BARABARA ZILIZOHARIBIKA NA MVUA ZA MASIKA

Na Mwandishi wetu,Tunduru WAKALA wa barabara (TANROADS)Mkoa wa Ruvuma,umepokea Sh.bilioni 2.5 kati ya Sh.bilioni 6 ilizoomba ili kurejesha miundombinu ya barabara zilizoharibiwa na mvua za masika katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo. Hayo yamesemwa jana na Meneja wa TANROADS Mkoa wa Ruvuma Saleh Juma,baada ya kukagua kazi ya urejeshaji wa miundombinu ya daraja la Mto…

Read More

DKT. NCHEMBA AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI BENKI YA NCBA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kushoto) akizungumza jambo wakati wa mkutano na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NCBA Tanzania Bw. Claver Serumaga, ulioangazia ushirikiano wa maendeleo, katika Ofisi ya Waziri wa Fedha Treasure Square, jijini Dodoma. Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia) akieleza umuhimu wa ushirikiano katika…

Read More

Katibu mkuu Maganga aipongeza WCF kwa utendaji kazi kwa kufuata viwango vya kimataifa.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mary Maganga, ameupongeza Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa utoaji huduma unaofuata viwango vya Kimataifa katika kushughulikia masuala ya fidia kwa wafanyakazi. Katibu Mkuu Maganga amesema huduma wanazotoa WCF tayari zimekidhi vigezo vya Shirika la Kimataifa la Viwango ikiwa ni, menejimenti ya…

Read More

Waathirika wa mafuriko Ifakara warejea kwenye makazi yao

Ifakara. Waathirika 160 kati ya 400 wa mafuriko waliowekwa kwenye kambi ya Shule ya Msingi Ifakara wilayani Kilombero Mkoa wa Morogoro, wamerejea kwenye makazi yao huku wakiendelea kufanya ukarabati wakati Serikali ikikagua hali ya usalama wa nyumba hizo. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumatano Mei 8, 2024, Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Danstan Kyobya amesema…

Read More

BIL 1.1 ZA TANROADS ZAREJESHA MAWASILIANO YA BARABARA NA MADARAJA YALIYOSOMBWA NA MVUA ZA EL-NINO – KATAVI

Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoani Katavi imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kufanya kazi ya matengenezo na kurejesha miundombinu ya barabara na madaraja yaliyosombwa na maji ya mafuriko ya mvua kubwa za El-nino zilizonyesha kwa wingi mkoani humo tarehe 14 na 15 Aprili 2024. Meneja wa TANROADS Mkoa wa Katavi Martin A. Mwakabende amesema…

Read More

ULEGA: TUMEJIPANGA KUIMARISHA BIASHARA YA MAZAO YA MIFUGO

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema wizara yake imejipanga kuyasimamia vyema mazao ya mifugo hususan maziwa, nyama na ngozi ili yazalishwe kwa ubora na kushamirisha biashara kwa lengo la kuyafanya mazao hayo kuwa na mchango mkubwa zaidi kwenye pato la Taifa. Ameyasema hayo wakati akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Nyama na…

Read More