
Mtu asiyefahamika amshambulia na kumjeruhi mtoto mwenye ualbino
Geita. Mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (albino) mwenye umri wa miaka 10 anayesoma darasa la nne Shule ya Msingi Maalumu Katoro mkoani Geita, amenusurika kufa baada ya kushambuliwa na mtu asiyefahamika kwa kumkata na kitu chenye ncha kali sehemu za kichwa na mkono. Tukio hilo lilitokea Mei 4, 2024 saa mbili usiku katika mtaa wa…