
Wanafunzi waweka wazi sababu za utoro kukithiri Geita
Geita. Wakati changamoto ya utoro ikitajwa kuchangia kurudisha nyuma jitihada za kuinua kiwango cha elimu mkoani Geita, wanafunzi wamezitaja sababu zinazochangia kukithiri kwa hali hiyo. Miongoni mwa sababu hizo ni shughuli za kiuchumi hasa uchimbaji kwa ajili ya kujipatia kipato, adhabu ya viboko na kukatishwa tamaa kutokana na changamoto ya ukosefu wa ajira. Wanafunzi hao…