
NGUVU IELEKEZWE KUDHIBITI UPITISHAJI MADAWA YA KULEVYA KATIKA BANDARI BUBU.- MZAVA
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa (2024) Godfrey Mzava ,ametoa wito kwa Jeshi la Polisi Mkoani Pwani ,kuongeza nguvu ya doria kwenye bandari bubu zilizopo kwenye fukwe ya Bahari ya Hindi katika ukanda huo ili kudhibiti uingizaji na usafirishaji wa madawa ya kulevya. Alitoa wito huo wilayani Mafia, wakati akitoa ujumbe…