Admin

Mafunzo kwa bodaboda 395 yamkuna Meya Dodoma

NAIBU Meya wa Jiji la Dodoma, Asma Karama amepongeza mafunzo yanayotolewa na Shirika la Amend kwa udhamini wa Ubalozi wa Uswis kwa madereva bodaboda 395 kwani yatawalinda raia wanaowabeba kwa ajili ya kujenga uchumi wa nchi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Akizungumza wakati wa kuhimishwa kwa mafunzo ya awamu ya pili ya usalama barabarani…

Read More

Mahakama yamtaka Mwakinyo kwenye usuluhishi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imefikia uamuzi wa kulipeleka shauri la kesi ya madai inayomkabili bondia Hassan Mwakinyo dhidi ya mdai Kampuni ya PAF Promotion katika usuluhishi ambapo imemtaka mdaiwa na mdai kufika bila kukosa keshokutwa Ijumaa. Kesi hiyo ambayo juzi ilikuwa maalumu kwa ajili ya kutajwa katika usuluhishi mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Rahim…

Read More

Kila mwanachama mwenye sifa anaruhusiwa kugombea nafasi yoyote,lakini kwenye uteuzi si kila mtu atateuliwa

Katibu mkuu wa Jumuiya ya wazazi CCM Taifa, Ally Salum Hapi amewatahadharisha watu wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali katika chaguzi zijazo kupitia chama cha mapinduzi hususani katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajia kufanyika mwaka huu na uchaguzi mkuu mwakani 2025 kuelewa namna mchakato wa kupata wagombea unavyokuwa kwani kwa mujibu wa katiba kila…

Read More

Mbivu, mbichi urais wa Ramaphosa mwezi huu

MWISHONI mwa mwezi huu, raia wa Afrika Kusini watapiga kura katika uchaguzi mkuu ambao unaweza kuleta mabadiliko makubwa zaidi ya kisiasa katika miongo mitatu, huku chama tawala cha African National Congress (ANC) kikiwa katika hatari ya kupoteza wingi wake wa wabunge. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa… (endelea). Zaidi ya watu milioni 27 wameandikishwa kwenye daftari la…

Read More

Rais Vladimir Putin ala kiapo cha awamu ya tano ya urais – DW – 07.05.2024

Kwenye shughuli ya uapisho, Rais Vladimir Putinamesema anayachukulia mamlaka ya urais nchini humo kama “jukumu takatifu”. Akasisitiza katika Ukumbi wa Saint Andrew ambako amekula kiapo kwamba kuitumikia Urusi ni heshima kubwa, wajibu na jukumu takatifu, huku akiwarai raia wa taifa hilo kuvikabili vikwazo dhidi yao kwa kuungana pamoja. “Nina imani kuwa tutapita katika kipindi hiki…

Read More

Serikali yaunda kamati kupitia nyongeza ya pensheni

Dodoma. Serikali ya Tanzania imeunda kamati kukusanya na kuchambua maoni na mapendekezo ya viwango vya pensheni ili kuwezesha maandalizi ya rasimu ya Waraka wa Baraza la Mawaziri kuhusu nyongeza ya pensheni kwa wastaafu wanaolipwa na Hazina. Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema hayo leo Jumanne Mei 7, 2024 wakati akijibu swali la Mbunge wa…

Read More

Simba wakomaa na Mgunda, wakiipa ubingwa Yanga

‘Apewe timu’. Ni kauli ya baadhi ya viongozi wa Simba wakielezea kazi nzuri anayoonyesha Kocha Mkuu wa muda wa timu hiyo, Juma Mgunda wakisema kwa sasa aendelee kuaminiwa hadi mwisho wa msimu, huku wakikiri ubingwa kuwa mgumu. Mgunda alikabidhiwa timu hiyo akichukua mikoba ya Abdelakh Benchikha aliyeomba kuondoka kikosini kwa madai ya majukumu ya kifamilia…

Read More

Putin kuapishwa mchana huu akifukuzia miaka 30 madarakani

Moscow. Rais wa Russia, Vladimir Putin anaapishwa mchana wa leo Jumanne Mei 7, 2024 kuliongoza tena taifa hilo kwa kipindi kingine cha miaka sita, kitakachokamilisha atafikisha 30 akiwa madarakani. Putin ambaye ameliongoza taifa hilo kwa miaka 24, alichaguliwa tena Machi 2024 kushika wadhifa huo kwa miaka sita ijayo. Ataapishwa kushika wadhifa huo katika hafla ya…

Read More

Aziz Ki kamuacha mbali Fei Toto

Achana na vita ya ufungaji bora iliyopo baina ya Feisal Salum ‘Fei Toto’ wa Azam FC na Stephane Aziz Ki wa Yanga, lakini kiungo huyo wa Yanga amejijengea ufalme wake kwenye tuzo za mchezaji bora wa mwezi. Viungo hao wawili wapo kwenye vita kali ya kuwania tuzo ya mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara, huku…

Read More