
Warombo wataka kuanzisha benki yao
Dar es Salaam. Wenyeji wa Rombo wanaoishi Mkoa wa Dar es Salaam wamehamasishana kushirikiana kuanzisha benki yao itakayowasaidia kukuza uchumi wa pamoja. Wamesema endapo wazo hilo litafanikiwa, benki hiyo itawapa fursa ya kuanzisha viwanda vikubwa na vidogo nchini, hivyo kukuza uchumi kwa mwananchi mmoja mmoja na kuleta maendeleo mapana kwa Taifa. Wananchi wa Rombo wanaoishi Dar…