
Sababu zinazompa Kibu thamani | Mwanaspoti
Kibarua kigumu ambacho Simba inacho katika kumbakisha nyota wake Kibu Denis anasaini mkataba mpya kinachangiwa na ufanisi wa mchezaji huyo uwanjani licha ya kutokuwa na takwimu bora za kuhusika na mabao, thamani ya mkataba wake uliopita lakini pia uwepo wa ofa nono mezani kutoka timu nyingine. Licha ya mchezaji huyo mwenye uwezo wa kucheza vyema…