Itutu: Tutauza gesi kwa Sh3,000, kukomesha ufisadi na rushwa
Mwanza. Mgombea ubunge wa Ilemela kwa tiketi ya chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Shaban Itutu, amesema akiingia madarakani yeye na chama chake watafanya mapinduzi makubwa kuboresha maisha ya Watanzania, ikiwemo kushusha gharama za gesi ya kupikia, kutatua changamoto ya maji, kujenga uwanja wa soka mkoani Mwanza na kupambana na ufisadi na rushwa. Itutu…