
Wauguzi Dar wataka siku zaidi za mapumziko
Dar es Salaam. Wauguzi na wakunga wa mkoa wa Dar es Salaam, wamelalamikia kufanya kazi zaidi ya saa nane kwa siku, pamoja na kutumia siku 28 mpaka 30 wakiwa kazini bila mapumziko. Wauguzi hao wamesema licha ya kupata mapumziko ya likizo ya siku 28 kwa mwaka, bado wameendelea kufanya kazi kwa saa 12 kila siku….