
Simba, Yanga yamuachia msala Kibu
BAADA ya mazungumzo ya muda mrefu na klabu yake ya Simba kuhusu kuongeza mkataba mpya sambamba na Yanga kutaka kumsajili kiungo mshambuliaji, Kibu Denis, sasa amebaki na kalamu mkononi akipewa uhuru wa kuchagua asaini wapi na avae jezi gani msimu ujao jambo lililomuweka njia panda. Kibu aliyejiunga na Simba msimu wa 2021/2023 akitokea Mbeya City…