
Hatua kwa hatua ‘Boni yai’ na Malisa kizimbani, waachiwa kwa dhamana
Dar es Salaam. Meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob na mwenzake, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka matatu ya kuchapisha taarifa za uongo katika mtandao wa kijamii wa X(zamani Twitter ) na Instagram, kinyume cha sheria. Jacob maarufu kama ‘Boni Yai’, mfanyabiashara na mkazi wa Mbezi Msakuzi amefikishwa mahakamani…