
Idris Sultan anogesha Msimu wa Tatu wa Bridgerton
Na Joseph Shaluwa STAA wa burudani kutoka ardhi ya Tanzania, Idris Sultan amenogesha ujio mpya wa tamthiliya ya Bridgerton, katika onesho kabambe lililowakusanya nyota daraja la kwanza kutoka Afrika Mashariki na bara la Afrika kwa ujumla. Onesho hilo lilifayika juzi, Mei 4, mwaka huu nchini Afrika Kusini, ambapo Netflix, waandaaji wa series hiyo, walizindua msimu…