
Israel yaamuru raia 100,000 kuondoka Rafah – DW – 06.05.2024
Tangazo hilo la Israel limekwamisha juhudi za hivi punde za wapatanishi wa kimataifa, ikiwa ni pamoja na Marekani, Qatar na Misri za kutafuta kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano huko Gaza . Viongozi wa Kundi la Hamas pamoja na maafisa wa Qatar ambao ndiyo wapatanishi wakuu, wameonya kuwa uvamizi wa Rafah unaweza kuharibu mchakato wa mazungumzo ya kusaka…