
Mandonga: Ndege ilipotikisika ilitaka kunitoa roho (2)
BONDIA Mandonga ambaye jina lake halisi ni Karim Said, amefanya mahojiano maalum na Mwanaspoti na baada ya jana kueleza mambo mengi kuanzia ajira yake ya zamani ya kupiga debe hadi sasa akiwa bondia maarufu, leo tuendelee naye katika sehemu ya pili ya mahojiano hayo: SWALI: Kukosa mchezo wa ngumi pengine ulitamani kuwa nani? JIBU: Nashukuru…