Admin

Sababu kimbunga Hidaya kukosa nguvu ghafla

Dar/Mikoani. Shughuli za usafiri, usafirishaji na uvuvi zikiwa zimerejea katika baadhi ya maeneo huku athari zaidi za kimbunga Hidaya zikitajwa, wataalamu wa masuala ya hali ya hewa wameeleza siri ya kimbunga hicho kukosa nguvu ghafla. Kimbunga Hidaya kilichoanza kutolewa taarifa za tahadhari Mei 1 kikiwa na kasi ya kilomita 65 kwa saa, safari yake ilianza…

Read More

Mvua yasababisha watu 400 kukosa makazi Ifakara

Morogoro. Mvua kubwa iliyonyesha mfululizo kwa zaidi ya saa 72 katika mji wa Ifakara wilayani Kilombero imesababisha mafuriko ambapo  watu zaidi 400 wamekosa makazi baada ya nyumba zao kujaa maji na nyingine kubomoka. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Mei 5, 2024, Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Danstan Kyobya amesema mafuriko hayo yamesababishwa na kujaa kwa…

Read More

Mitihani ya kidato cha sita kuanza kesho

Dar es Salaam.  Jumla ya watahiniwa 113,504 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita, kuanzia kesho Mei 6 mwaka huu huku ikitarajiwa kumalizika Mei 24. Mtihani huo wa kidato cha sita, utafanyika kwenye jumla ya shule 931 na vituo vya watahiniwa wa kujitegemea 258. Pamoja na hayo, mitihani ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada…

Read More

Utata askari Polisi akidaiwa kumjeruhi mtuhumiwa kwa risasi

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi mkoani Manyara limeingia lawamani baada ya ofisa wa kituo cha Mirerani wilayani Simanjiro kudaiwa kumpiga risasi mtuhumiwa wakati akihojiwa. Mtuhumiwa anayetajwa kwa jina la Ronald Mbaga na wenzake wawili walikamatwa Machi 30, 2024 kwa tuhuma za kuiba bastola ya mfanyabiashara wa madini ambaye jina lake halijatajwa. Inadaiwa ofisa huyo…

Read More