
Aziz Ki ampiga bao Guede Tuzo ya Ligi Kuu
KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameteuliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Aprili wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2023/2024, huku kocha wake, Miguel Gamondi naye akibeba. Aziz Ki ametwaa tuzo hiyo akiwashinda Kipre Junior wa Azam na Joseph Guede ambaye anacheza naye katika kikosi cha Yanga ambacho kinaongoza ligi. Taarifa iliyotolewa na…