
Serikali kuukarabati uwanja wa Jamhuri, Morogoro
Waziri wa Sanaa Utamaduni na Michezo, Dk Damas Ndumbaro amesema kuelekea mashindano ya Afcon 2027, ambayo yanatarajiwa kufanyika kwa ushirikiano wa nchi tatu za Tanzania, Kenya na Uganda serikali itaufanyia ukarabati Uwanja wa Jamhuri ili uweze kutumika.kwa mazoezi kuelekea mashindano hayo. Akizungumza na Mwanaspoti Waziri Ndumbaro amesema serikali imeamua kuja na mbinu mbadala ya kuwa…