
Hapi awashukia wazazi malezi ya watoto
Iringa. Katibu Mkuu wa Wazazi Taifa, Ally Hapi amesema moja ya njia ya kupambana na tatizo la ubakaji na ulawiti kwa watoto ni kuwalinda na kutorihusu watembee usiku. Amesema baadhi ya wazazi na walezi wasiojali makuzi ya watoto kiasi cha kuwatuma maeneo tofauti usiku wakati wakijua wanawaweka katika hatari ya kufanyiwa vitendo vya ukatili muda…