
Mbatia ambwaga Selasini, mahakama yaamuru alipwe fidia
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemuamuru Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Joseph Selasilini, alimpe fidia ya fedha kiasi cha Sh. 80 milioni, aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia, kwa kosa la kumchafua. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Amri hiyo ilitolewa juzi tarehe 2 Mei 2024 na mahakama hiyo…