Admin

HUDUMA YA MWENDOKASI IANZE MBAGALA’ MHE NYAMOGA

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa inayoongozwa na Makamu Mwenyekiti wake, Mhe Lazaro Nyamoga imefanya ziara ya kikazi ya kukagua mradi wa ujenzi wa miundombinu na uendeshaji wa mabasi yaendayo haraka Akiongea na wananchi wa eneo la Mbagala Kijichi Mhe.Nyamoga ameitaka serikali kuhakikisha wanapeleka huduma ya mabasi katika…

Read More

Kada ya wanadiplomasia yanukia, Serikali yatoa neno

Arusha. Katika utekelezaji wa mkakati wa diplomasia ya uchumi, Serikali inatarajia kuanzisha mpango wa kujenga kada ya wanadiplomasia wenye uwezo mkubwa nchini. Imesema mpango huo unalenga kusaidia nchi kuwa na rasilimali watu mahiri na wenye ujuzi, maarifa na weledi wenye kuweza kushindana na wanadiplomasia kutoka katika mataifa mengine katika maswala ya kiuchumi. Hayo yameelezwa jana…

Read More

Sakata la Kibu kugomea mkataba Simba, udalali watajwa

Habari ya mjini kwa sasa ni kuhusu Kibu Denis ‘Mkandaji’. Ni kiungo mshambuliaji wa Simba anayemaliza mkataba wake kwa Wekundu wa Msimbazi hao na ameziingiza timu hizo kwenye vita kubwa na picha lake linatisha. Simba inataka kumwongezea mkataba. Yanga inataka kumhamishia kwa Wananchi. Ihefu nao wamemwambia aachane na timu za Kariakoo aendee akatulie mkoani na…

Read More

Aliyekuwa Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo afariki dunia

Dar es Salaam. Aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kilosa, Mustafa Mkulo amefariki dunia jana Mei 3, 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu. Kwa mujibu wa taarifa ya kutangaza kifo chake iliyotolewa na familia yake, msiba upo nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaam. Maziko yake yanatarajiwa kufanyika nyumbani…

Read More

Mbatia ambwaga Selasini, mahakama yaamuru alipwe fidia

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemuamuru Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Joseph Selasilini, alimpe fidia ya fedha kiasi cha Sh. 80 milioni, aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia, kwa kosa la kumchafua. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Amri hiyo ilitolewa juzi tarehe 2 Mei 2024 na mahakama hiyo…

Read More

Wakazi wa Kiponzelo marufuku kuanzisha vilabu bubu nyumbani

Iringa. Ofisa Tarafa ya Kiponzelo, wilayani Iringa, Rukia Hassan amesema umeibuka mtindo wa baadhi ya watu kuanzisha vilabuni vya pombe za kienyeji kiholela kwenye nyumba zao, jambo linalohatarisha ustawi wa watoto. Amesema imefika hatua mtu akitengeneza  pombe hizo, wateja wanaenda kununua na kunywea nyumbani jambo ambalo haliwezi kukubalika na kuachwa liendelee. Akizungumza na Mwananchi leo…

Read More

NYUMA YA PAZIA: Mo Salah, Klopp katika mahafali baada ya mitihani

SIJUI kama imebadilika lakini nimekumbuka zamani. Zamani yetu shuleni. Walimu walikuwa na akili timamu kupanga tuanze na mahafali kisha twende katika mitihani. Ingewafanya wanafunzi wenye vurugu kuwa na nidhamu siku ya sherehe yao ya mwisho shuleni. Sijui nani alipata wazo lile. Haijatokea hivyo Liverpool. Nimekumbuka Jumamosi mchana pale Uwanja wa Olimpiki London. Kulikuwa na mahafali…

Read More

Usafiri wa boti Dar- Z’bar, vivuko vyasitishwa, TMA yatoa taarifa

Dar/Unguja. Kutokana na hali mbaya ya hewa baharini, safari za boti kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar na vivuko mbalimbali vimesitishwa hadi Jumatatu ya Mei 6, 2024 huku abiria waliokuwa wamekata tiketi wakirudishiwa nauli zao. Safari hizo zimesitishwa kutokana na tahadhari iliyotolewa kwa baadhi ya mikoa nchini kutarajiwa kukumbwa na Kimbunga Hidaya. Tahadhari hiyo ilitolewa…

Read More

Picha la Kibu linatisha, Yanga yachafua hewa

HABARI ya mjini kwa sasa ni kuhusu Kibu Denis ‘Mkandaji’. Ni kiungo mshambuliaji wa Simba anayemaliza mkataba wake kwa Wekundu wa Msimbazi hao na ameziingiza timu hizo kwenye vita kubwa na picha lake linatisha. Simba inataka kumwongezea mkataba. Yanga inataka kumhamishia kwa Wananchi. Ihefu nao wamemwambia aachane na timu za Kariakoo aendee akatulie mkoani na…

Read More