
Watuhumiwa kulinda bangi wanazolima kwa ‘bunduki’
Dodoma. Mamlaka ya Kuthibiti na Kupambana na Dawa ya Kulevya (DCEA), imewakamata watu 18 kwa kuhusika na kilimo cha bangi huku wawili kati yao wakikamatwa na magobore waliyokuwa wakiyatumia kulinda mashamba hayo. Hayo yameelezwa leo Ijumaa Machi 3, 2024 na Kamishna Msaidizi wa DCEA, Kanda ya Kati Mzee Kasuwi wakati akikabidhi silaha mbili kwa Kamanda…