Admin

Mgunda afunguka kuhusu Kibu  | Mwanaspoti

BAADA ya minong’ono kuwa mingi kufuatia kukosekana kwa Kibu Denis katika nchezo wa Ligi Kuu Bara ambao Simba imecheza dhidi ya Mtibwa Sugar katika Uwanja wa Azam Complex leo jioni, kaimu kocha mkuu wa Wekundu hao wa Msimbazi, Juma Mgunda ametoa neno. Mgunda ambaye ameiongoza Simba kupata ushindi wake wa kwanza katika ligi amesema Kibu…

Read More

Uongozi Kariakoo, wafanyabiashara wavutana | Mwananchi

Dar es Salaam. Wakati mchakato wa kurejesha wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam ukikaribia, baadhi yao wametoa malalamiko kuwa hawajashirikishwa katika suala hilo. Wakati wafanyabiashara hao wakitoa malalamiko hayo, uongozi wa Soko la Kariakaoo umesema ingekuwa vigumu kuwashirikisha katika kila hatua wakati soko likiwa katika hatua ya ujenzi. “Kuzungumza na waandishi…

Read More

Kimbunga Hidaya chapungua  nguvu, tahadhari yatolewa

Dodoma. Serikali imesema kuwa kimbunga Hidaya kilichoipiga Pwani ya Mashariki wa Bahari ya Hindi kinaendelea kupungua nguvu kadri kinavyoelekea nchi kavu baada mwenendo wa  mifumo ya hali ya hewa kuonyesha kuwa kimefikia kasi ya kilomita 342 kwa dakika majira ya saa tatu asubuhi kutoka kasi ya kilomita 401 iliyokuwepo saa 9 alfajiri kuamkia leo. Mapema,…

Read More

Takukuru kujitosa madai ya rushwa uchaguzi ndani ya Chadema

Dar es Salaam. Taasisi Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imesema inafuatilia taarifa zozote za rushwa katika uchaguzi, zikiwemo zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu kuwa kuna fedha zimemwagwa kwenye uchaguzi wa ndani wa chama hicho. Lissu alitoa madai hayo jana Mei 2, 2024 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara mjini Iringa, akihoji…

Read More

Sakata la Kibu kugomea mkataba udalali watajwa

Habari ya mjini kwa sasa ni kuhusu Kibu Denis ‘Mkandaji’. Ni kiungo mshambuliaji wa Simba anayemaliza mkataba wake kwa Wekundu wa Msimbazi hao na ameziingiza timu hizo kwenye vita kubwa na picha lake linatisha. Simba inataka kumwongezea mkataba. Yanga inataka kumhamishia kwa Wananchi. Ihefu nao wamemwambia aachane na timu za Kariakoo aendee akatulie mkoani na…

Read More

Mgunda aanza kuhesabu, Simba ikibakisha nne

KAIMU kocha mkuu wa Simba, Juma Mgunda amepata ushindi wake wa kwanza na mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wake wa pili wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Mgunda alianza kwa sare ya mabao 2-2 akiwa Ruangwa mkoani Lindi mbele ya Namungo katika mchezo wake…

Read More