Admin

Sabaya yupo huru,DPP aondoa rufaa

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) Silvester Mwakitalu, leo May 05,2024 amewasilisha katika Mahakama Kuu ya Tanzania masijala ya Arusha ombi la kuiondoa rufaa No.155 ya Mwaka 2022 aliyokuwa ameikata dhidi ya Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake saba ya kudaiwa kujipatia Tsh. milioni 90 kwa Mfanyabiashara Francis Mroso. Rufaa hiyo…

Read More

NBC yazindua huduma maalum kwa wastaafu

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua huduma maalum kwa ajili ya wastaafu inayofahamika kama “Akaunti ya Wastaafu” ama “Pensioners account” ikilenga kutoa huduma za kibenki zenye kutoa vipaumbele kwa kundi hilo la kijamii. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kupitia huduma hiyo iliyozinduliwa mapema leo Ijumaa jijini Dar es Salaam pamoja na faida nyingine  inatoa…

Read More

DPP aondoa rufaa ya mwisho dhidi ya Sabaya, wenzake watano

Arusha. Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) amewasilisha katika Mahakama Kuu ya Tanzania masijala ya Arusha, nia ya kutoendelea na dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake watano. Kufuatia nia hiyo, Mahakama hiyo imeridhia na kuiondoa rufaa hiyo ya jinai namba155/2022. Mbali na Sabaya, wengine ambao rufaa dhidi yao imeondolewa…

Read More

CHIKOTA ASHAURI MAMBO MATANO KWENYE ZAO LA KOROSHO

Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota,akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2024/25 bungeni jijini Dodoma. Na Mwandishi Wetu, DODOMA Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan namna anavyothamini sekta ya kilimo na dhamira ya kuwakomboa wakulima kwa kuongeza bajeti ya Wizara ya Kilimo kutoka Sh.Bilioni 900…

Read More

Waziri Gwajima kukabidhi nyumba kwa mjane aliyefukuzwa baada ya kugoma kurithiwa.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum, Doroth Gwajima anatarajia kukabidhi nyumba kwa mjane Judith Innocent Luhumbika, aliyekuwa akipitia manyanyaso kutoka Kwa familia ya ndugu wa mumewe, ikiwemo kufukuzwa nyumbani kwake kufuatia kugoma kurithiwa mara baada ya mumewe kufariki. Akizungumza katika nyumba hiyo yenye thamani ya zaidi ya milioni 50, aliyojengewa…

Read More