
Wanajeshi wa Urusi waingia kwenye kambi ya Marekani ya Niger – DW – 03.05.2024
Tuelekee huko nchini Niger ambako inaripotiwa kuwa wanajeshi wa Urusi wameingia kwenye kambi ya jeshi la anga inayokaliwa na wanajeshi wa Marekani, haya yanajiri baada ya serikali ya kijeshi ya Niger kuamua kuwatimua wanajeshi wa Marekani katika taifa hilo la Afrika Magharibi. Soma zaidi. Mamia waandamana Niger kushinikiza kuondoka kwa vikosi vya Marekani Kwa muda mrefu…