
Wafanyakazi waidai STAMICO mishahara ya bilioni 1
WALIOKUWA wafanyakazi wa mgodi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) unaochimba makaa ya mawe katika kijiji cha Kapeta Kata ya Ikinga wilayani Ileje mkoani Songwe, wamemuomba uongozi wa kata hiyo kuwakumbusha STAMICO iwalipe fedha zao zaidi ya moja bilioni ambazo ni malimbikizo ya mishahara Anaripoti Ibrahim Yassin, Songwe… (endelea). Awali katika kipindi cha miaka…