
TMA: Kimbunga Hidaya kinaendelea kusogea, kuimarika
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) leo Ijumaa, Mei 3, 2024 saa 3:00 asubuhi imetoa taarifa ya kuimarika na kuendelea kusogea kwa Kimbunga Hidaya katika pwani ya Bahari ya Hindi. “Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo katika Bahari ya Hindi mashariki…