Admin

Fahamu madhara ya kunywa pombe bila kula

Dar es Salaam. Kama wewe ni mnywaji wa pombe zinazotengenezwa kwa ngano au pombe kali, soma hapa kwa makini. Wataalamu wa afya wameeleza uwepo wa athari hasi, kwa wale wenye tabia za kunywa pombe kabla ya kula chakula kwani huchangia mnywaji kula chakula kidogo kuliko mahitaji ya mwili au kuharibu kuta za utumbo. Mtaalamu wa…

Read More

WATU 200 WAPIMA AFYA NA GGML KATIKA MAONESHO YA OSHA

Na Mwandishi Wetu, Arusha WATU zaidi ya 200 jijini Arusha wamejitokeza kupimwa afya na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) na kati yao kubainika kuwa wana tatizo la uzito uliopitiliza. Pia kati ya watu hao hakuna aliyebainika kuwa na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU), lakini mmoja amekutwa na dalili zote za kifua kifuu…

Read More

Sababu za wajawazito kuvimba uso, miguu hizi hapa

Dar es Salaam. Miongoni mwa mambo yanayojitokeza kwa baadhi ya wajawazito katika kipindi cha miezi minne mpaka tisa, ni kuvimba pua, uso na wengine miguu. Catherine Malya ni miongoni mwa wanawake waliobadilika mwonekano katika kipindi cha ujauzito wake. “Nilivimba mwili mzima, pua ilikuwa kubwa, mdomo na uso vyote vilivimba, nilibadilika sana. Kitu pekee mume wangu…

Read More

PICHA

Na.Alex Sonna-KIGOMA Zaidi ya wananchi 300,000 wamenufaika na mbegu za kisasa za mchikichi zinazozalishwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika Kikosi cha 821 Bulombora mkoani Kigoma. Mwenyekiti  wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena  ameyasema hayo  wakati wa ziara yake ya kukagua…

Read More