
Gamondi afichua jambo Yanga | Mwanaspoti
HESABU za Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi ni kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara mapema tu kadiri iwezekanavyo na ndiyo maana amefichua kuwa na dozi maalum kwa wachezaji wake kwenye uwanja wa mazoezi ili kila mmoja kuwa fiti na tayari kwa mchezo ambao atataka kumtumia. Baada ya kutolewa wiki chache zilizopita katika hatua ya…