Admin

Makonda autaka mgodi kubadilisha maisha ya wana-Geita

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametoa wito kwa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kuhakikisha fedha zinazotolewa na kampuni hiyo kutekeleza miradi mbalimbali ya kijamii (CSR) zinagusa na kubadilisha maisha ya wananchi wa mkoa wa Geita na Tanzania kwa ujumla. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mbali na kuipongeza GGML kwa kuja na…

Read More

Rais Ruto amteua Kahariri kuwa CDF Kenya

Kenya. Rais wa Kenya, William Ruto amempandisha cheo Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri kuwa Jenerali na kisha kumteua kuwa Mkuu wa Majeshi (CDF) leo Alhamisi Mei 2, 2024 kuchukua nafasi ya Francis Ogolla, CDF aliyekufa kwenye ajali ya helikopta. Kwa mujibu wa tovuti ya Taifa Leo ya nchini Kenya, mbali na uteuzi huo, mabadiliko mbalimbali…

Read More

SERIKALI YAANIKA MIKAKATI YA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA WANYAMAPORI WAKALI

Na Happiness Shayo – Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeainisha mikakati mbalimbali ya kukabiliana na changamoto ya wanyamapori wakali na waharibifu katika maeneo mbalimbali nchini ikiwemo Wilaya ya Mbarali, ambapo imesema inatekeleza Mkakati wa Kitaifa wa Utatuzi wa Migogoro baina ya Binadamu na Wanyamapori (2020-2024), Mkakati wa Kusimamia na Kuhifadhi Tembo Nchini…

Read More

Je, miji ya Uingereza inafilisika?

MNAMO 1890, mwandishi mmoja wa habari Mmarekani aitwaye Julian Ralph alisafiri kutoka New York hadi Birmingham, mji wenye nguvu ya kiviwanda ulio katikati ya Uingereza, na akaona kuwa ni “jiji linalotawaliwa vyema zaidi ulimwenguni.” Katika zaidi ya kurasa 12 ndani ya Jarida la Harper’s, Ralph alisifu baraza la jiji kwa kuwapa raia wake majumba ya…

Read More

Madereva Tanga – Holoholo wagoma, kisa hiki hapa

Tanga. Madereva wanaofanya safari zao kutoka Tanga Mjini kwenda wilaya ya Mkinga eneo la Holoholo ulipo mpaka wa Tanzania na Kenya, wamegoma kusafirisha abiria kutokana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini (Latra) kushusha nauli huku bei ya mafuta ikiwa imepanda. Akizungumza katika Stendi ya Mwembe Mawazo ulipofanyika mgomo huo, leo Mei 2, 2024, Makamu…

Read More

Wiki tatu za jasho Yanga

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC kwa sasa wanaishi kwa kupiga hesabu za vidole kabla ya kutetea ubingwa ambao utakuwa wa 30 tangu kuanzishwa kwa ligi hiyo. Ni wiki tatu za jasho kabla ya Mei 22. Yanga wapo kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo wakiwa na pointi 62 baada ya kucheza mechi 24,…

Read More

Video ya Davido akipiga goti kwa mchepuko yavujishwa,mwenyewe atolea majibu

Wanamuziki wawili maarufu nchini Nigeria, Wizkid na Davido, wamewasha moto mitandao ya kijamii kwa kurushiana maneno, na kuwavutia mashabiki nchini na kote nchini. Ushindani kati ya mastaa hawa wawili wa afrobeat, ambao kila mmoja unaongoza mamilioni ya wafuasi duniani kote, umegawanya wapenda muziki wa Nigeria katika kambi kali: “Team Wizkid” au “Team Davido”. Lakini bado…

Read More