Admin

WAZIRI MKUU AWATAKA WAKANDARASI MIRADI YA UMWAGILIAJI KUZINGATIA UBORA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka wakandarasi wazawa waliopewa dhamana ya ujenzi wa Miradi ya umwagiliji kuhakikisha waaitekelza kwa weledi na ubora wa hali ya Kuu. Majaliwa Ameyasema hayo Jana katika hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa Miradi ya umwagiliaji katika maeneo mbalimbali, iliyofanyika jijini Dodoma. “Ndugu washiriki nimefurahishwa kuona kuwa asilimia 82 ya…

Read More

Wasusa kumzika marehemu wakidai ameuawa kishirikina

Njombe Wananchi wa mtaa wa Muungano halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wamegomea kuuzika mwili wa kijana Elisha Nyalusi (35) wakidai kifo chake kimesababishwa na imani za kishirikina huku wakimtuhumu baba yake na kutaka arudishwe akiwa hai. Wananchi hao akiwemo Nickson Nywage,Eliud Mwenda na Salima Mangula wamesema wamegomea kuuzika mwili huo kutokana na vijana…

Read More

SMZ YATENGA BILIONI 34 POSHO YA NAULI KWA WAFANYAKAZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa wafanyakazi wa SMZ wataongezewa posho ya shilingi 50,000 ya nauli ili kuleta ufanisi katika kazi na kurahisisha masuala ya usafiri kwa ajili ya nauli za kwenda kazini na kurudi nyumbani. Amesema shilingi bilioni 34 zimetengwa na Serikali kwa ajili ya posho…

Read More

Gamondi adai Pacome bado, mwenyewe afunguka

KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi amemtazama nyota wake Pacome Zouzoua kwa dakika 20 alizompa katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya Tabora United na kusema bado anahitaji muda wa kurejea katika makali yake. Pacome alianza kuomba kutumika tangu mchezo wa watani wa jadi Aprili 20, mwaka huu kwenye Uwanja wa…

Read More