
Faini zatawala Ligi Kuu Bara
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Bara (TPLB) katika kikao cha Aprili 30, mwaka huu imepitia matukio yaliyojitokeza katika mechi za Ligi Kuu, Championship na First League na kutoa adhabu mbalimbali kwa timu na wachezaji. Katika uamuzi uliotolewa timu ya Mashujaa imetozwa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la…