
WAKAAZI WA KATA YA KIGHARE WAGUSWA NA MCHANGO WA VIFAA VYA ELIMU
Wakaazi wa Kata ya Kighare Wilayani Mwanga leo Aprili 30, 2024 wamepokea kwa furaha mchango wa vifaa pamoja na fedha taslimu kwa ajili kuboresha maendeleo ya utoaji wa elimu katika shule ya msingi Kilaweni. Miongoni mwa vifaa vilivyotolewa ni pamoja na kompyuta mpakato mbili (Laptop), Printa (1) na fedha taslimu shilingi milioni moja. Akizungumza kwa…