
Makonda awapa ‘Wadudu’ kibarua cha ulinzi Arusha
Arusha. Unaweza kusema umetumika ule usemi wa wahenga wa ‘Mchawi mpe mwana alee’, baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuwapa kibarua cha ulinzi vijana wa Arusha maarufu kama ‘Wadudu’. Vijana hao wamekuwa maarufu kutokana na kuogopeka na wakazi wa Arusha kwa madai kuwa ni vibaka na wezi kwa kutumia vitu vyenye ncha…