
Tatizo la afya ya akili laongezeka Zanzibar
Unguja. Zaidi ya watu 5,000 wanakadiriwa kukabiliwa na tatizo la afya ya akili Zanzibar. Hata hivyo, kutokana na udhaifu wa usajili wa wagonjwa, idadi inaelezwa yaweza kuwa mara mbili zaidi. Hayo yamebainika leo Aprili 30, 2024 katika mkutano wa wauguzi na waandishi wa habari kuhusu kazi zitakazofanyika kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wakunga…