
Rais Samia Suluhu Hassan yupo tayari kutatua kero za wananchi ikiwemo kusogeza huduma ya maji safi:Mzava
Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa( 2024 ), Godfrey Mzava ameeleza ,Rais Samia Suluhu Hassan yupo tayari na amekuwa na utashi kuhakikisha anashusha raslimali fedha kwa ajili ya kutatua kero za wananchi ikiwemo kusogeza huduma ya maji safi,salama na karibu ya jamii. Mzava alieleza hayo wakati akikagua na kuweka jiwe la msingi katika mradi wa…