
SERIKALI INATAFITI MIKARATUSI KUHARIBU MAZINGIRA
Serikali kupitia Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI) inaendelea na utafiti wa kina wa miti aina ya mikaratusi kuhusu athari zake kimazingira na kuja na taarifa ya kitaalamu pamoja na ushauri. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis ameriarifu Bunge wakati akijibu swali la Mbunge wa Hai…