Admin

Kigamboni wataja kinachokwamisha maendeleo yao

Dar es Salaam. Wananchi wa Kigamboni wamewasilisha changamoto tatu zinazokwamisha kasi ya shughuli zao za kiuchumi, ikiwamo ubovu wa miundombinu ya Barabara ya Kibada-Mwasonga hadi Kimbiji. Zingine ni kukosekana mitaro ya maji na changamoto ya kivuko cha Kigamboni. Wamewasilisha hayo jana Jumatatu Aprili 29, 2024 mbele ya Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa aliyetembelea Kigamboni kukagua…

Read More

Mageuzi 13 ya Tamisemi kwenye elimumsingi

Bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imepitishwa na wabunge huku fedha ya bajeti zikiongezeka. Ongezeko hilo ni kutoka Sh9.18 trilioni iliyoidhinishwa mwaka 2023/2024 hadi kufikia Sh10.125 trilioni mwaka 2024/2025.  Ndani ya bajeti hiyo, Serikali imepanga kutumia Sh1.02 trilioni kupitia fedha zake na za washirika wa maendeleo kwa ajili…

Read More

Samsung Electronics Continues to Lead Global Digital Signage Market for 15th Consecutive Year – MWANAHARAKATI MZALENDO

  NAIROBI, Kenya – Samsung Electronics, a pioneer in cutting-edge display technology, has again secured its position as the number one global signage manufacturer. For an impressive fifteenth consecutive year, market research firm Omdia has recognised Samsung for its unwavering leadership in the dynamic field of digital signage. Samsung Electronics made a significant impact on…

Read More

Kuondoka kwa makocha Simba… Tatizo lipo hapa

LICHA ya Simba kutajwa timu yenye mafanikio kwenye miaka ya hivi karibuni kutokana na rekodi nzuri kimataifa ikiwa namba tano kwa ubora Afrika ndio timu pekee ambayo imefundishwa na makocha tisa ndani ya misimu sita. Simba imeandika rekodi hiyo ya kuachana na makocha hao baada ya juzi kuachana na Abdelhak Benchikha ambaye amedumu kwenye kikosi…

Read More