
KANALI MTAMBI NA MKAKATI WA KUKOMESHA UVAMIZI MGODI WA NORTH MARA
Na Mwandishi wetu. SERIKALI mkoani Mara ipo katika hatua za mwisho za kuanza utekelezaji wa mkakati mahsusi wa kukomesha matukio ya uvamizi wa mgodi wa North Mara unaofanywa na baadhi ya vijana wa eneo la Nyamongo na wilaya ya Tarime kwa ujumla. Mkuu wa mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amesema kwamba lengo la mkakati…