
Bwawa lapasua kingo nchini Kenya, watu 24 wapoteza maisha – DW – 29.04.2024
Bwawa hilo la Kijabe linakiswa kuvunja kingo zake mwendo wa saa nane usiku wa kuamkia leo jumatatu baada ya kushiba mvua kubwa inayozidi kunyesha. Maji hayo yalisambaa kwenye mitaa iliyo karibu na kusababisha mauti na uharibifu mkubwa. Aidha maji hayo yameharibu barabara kuu ya Nairobi- Nakuru na kuyasomba magari ya uchukuzi. Magari matano ya uchukuzi…