
Simba yamrejesha Juma Mgunda | Mwanaspoti
Hatimaye Simba imerejesha kocha mzoefu, Juma Mgunda kwenye kikosi hicho muda mchache baada ya Abdelhack Benchikha na wasaidizi wake kutimka. Tetesi zilianza kuzagaa wiki nzima kuwa Benchikha anaondoka kwenye kikosi hicho na muda mchache uliopita, Simba imetoa taarifa ya kuachana naye na sasa timu hiyo itakuwa chini na Mgunda na Selemani Matola. Taarifa iliyotolewa na…