
Viongozi wa Dini mtusaidie kukemea ukatili wa kijinsia – RAS MANYARA
Na Mary Margwe, Simanjiro. Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Maryam Muhaji ameitaka jamii kuhakikisha wanaimarisha Muungano huo, pamoja na kukemea vitendo vya Ukatili wa Kijinsia vinavyoendelea katika Mkoani humo. Kufuatia kuwepo kwa vitendo hivyo ndani ya Mkoa huo amewaomba viongozi wa Dini katika Makanisa na misikiti suala la Ukatili wa Kijinsia iwe ndio agenda…